Neema - Lyrics Eaglez Inte'l Band Lyrics

Recently Added Lyrics Eaglez Inte'l Band Neema - Lyrics


Instrumentals....

2nd Corinthians 12:9
For His grace is sufficient for me and His strength is made perfect in my wickness.

Umesababisha furaha na kicheko,
katika moyo wangu
eeh Bwana wee..
Umeondoa fedheha, aibu umefuta,
laana umetoa, ukanipa baraka

Nikupe nini nikulipe nini kwa upendo wako
Neema yako yanitosha, neema yako...

Neema yako yanitosha *4

Nalikungoja kwa saburi, ukaniinamia
Ukanitenga na kaburi, nakufurahia
Umenijaza zaburi, sifa nakwimbia
Kimeitoka kiburi, nakuinamia

Nikupe nini nikulipe nini kwa upendo wako
Neema yako yanitosha, neema yako...

Neema yako yanitosha *4

Ni kwa neema tu, Ni kwa neema tu, Ni kwa neema tu
(kuishi kwangu ni kwa neema tu)
Ni kwa neema, neema, neema aaah..
(kuishi kwangu ni kwa neema tu)

Ni kwa neema tu, Ni kwa neema tu, ni kwa neema
(kuishi kwangu ni kwa neema tu)
Ni kwa neema tu, Ni kwa neema tu, ni kwa neema
(kuishi kwangu ni kwa neema tu)

Ni kwa neema tu, ni kwa neema tu
(kuishi kwangu ni kwa neema tu)
Ni kwa neema tu, ni kwa neema tu
(kuishi kwangu ni kwa neema tu)

Your Grace Lord, is sufficient for me
(kuishi kwangu ni kwa neema tu)
Your Grace Lord, is sufficient..
(kuishi kwangu ni kwa neema tu)